Ingia / Jisajili

Pasaka Wetu Amekwisha Kutolewa

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 226 | Umetazamwa mara 799

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Mkesha wa Pasaka
- Antifona / Komunio Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Pasaka wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka yaani Kristo, basi na tuifanye karamu kwa yasiyochachika, ndio weupe wa moyo na kweli aleluya! Shairi: 1. Basi jisafisheni mkatoe ile chachu ya kale, mpate kuwa donge jipya kama vile mlivyo, hamkutiwa chachu kwa maana:

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa