Ingia / Jisajili

Wewe Ndiwe Kristo

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Watakatifu

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 77 | Umetazamwa mara 154

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Simoni Petro akajibu akasema: Wewe ndiwe Kristo mwana wa Mungu aliye hai. 1.Yesu akajibu, wewe ndiwe Petro na juu ya Mwamba huu nitalijenga kanisa langu. 2. Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni. 3. Na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni 4. Na lolote utakalolifungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa