Ingia / Jisajili

Salamu Maria

Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 252 | Umetazamwa mara 1,177

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Salamu salamu Maria umejaa neema, Mwombezi ni wewe Maria tuombee kwa Mungu x2 1.Tunalia na magonjwa mengi, tuombee kwa Mungu. 2. Nazo dhiki,zinatuandama tuombee kwa Mungu. 3. Majaribu yanatuandama, tuombee kwa Mungu. 4. Imarisha familia zetu tuombee kwa Mungu. 5. Tumaini ni kwako Maria tuombee kwa Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa