Ingia / Jisajili

Naijongea Meza Yako

Mtunzi: James Juma
> Mfahamu Zaidi James Juma
> Tazama Nyimbo nyingine za James Juma

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: JAMES JUMA

Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 5

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NAIJONGEA MEZA YAKO - By Collins J. Juma (Mwaka 2025 )

Naijongea meza yako, ewe Yesu wangu,
(Yesu wangu), nami nishiriki kwenye karamu yako, Bwana. x2

1.Nishibishe kwa mwili wako,
  Uninyweshe kwa damu yako,
  Nipate kuwa na uzima wa milele.


2.Yesu wangu, ninakuomba,
  Uje leo moyoni mwangu,
  Nipate kuwa na uzima wa milele.


3.Nipokee, ee Bwana wangu,
  Unikinge nayo maovu,
  Nipate kuwa na uzima wa milele.



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa