Ingia / Jisajili

Tutoe Sadaka Zetu.

Mtunzi: James Juma
> Mfahamu Zaidi James Juma
> Tazama Nyimbo nyingine za James Juma

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: JAMES JUMA

Umepakuliwa mara 184 | Umetazamwa mara 459

Download Nota
Maneno ya wimbo
Tutoe Sadaka Zetu. Mtunzi;James Juma. Tutoe sadaka zetu-Kwake Muumba vyote, Tutoe Kwa ukarimu-Yeye ndiye Mpaji wa vyote. X2 Mashahiri. 1.Tutoe Mapato yetu, kwake Baba wa Mbinguni,Tutoe kama shukrani-Yeye ndiye mpaji wa vyote. 2.Tutoe kwa moyo mmoja, Kwake Baba wa Mbinguni,Tutoe kama shukrani-Yeye ndiye mpaji wa vyote. 3.Tutoe na kwa upendo,Kwake Baba wa Mbinguni, Tutoe kama shukrani –Yeye ndiye mpaji wa vyote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa