Maneno ya wimbo
                Twende Tutoe sadaka. Na James Juma
Twende wote tutoe sadaka zetu,Twende wote tutoe sadaka zetu(Twende) tutoe sadaka zetu kwake Mungu x2
Twende tutoe ,twende tutoe tumtolee Mungu sadakazetu x2
1.Wiki nzima amekulinda nenda kamshukuru,kwani yeye ndiye amekupa na vyote ni mali yake.
2.Twende wote  kwa ukarimu tutoe sadaka,mema mengi ametujalia wote tumshukuru.
3.Tutoe kwa moyo safi tumpe Mungu wetu,fedha zetu hata na mifugo vyote ni mali yake.
4.Nia zetu tumtolee nazo nyoyo zetu,yeye Mungu mwenye mema yote atazibariki.
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu