Mtunzi: James Juma
> Mfahamu Zaidi James Juma
> Tazama Nyimbo nyingine za James Juma
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: JAMES JUMA
Umepakuliwa mara 29 | Umetazamwa mara 30
Download Nota Download MidiNAKUINULIA SADAKA By Collins Juma, Mwaka 2024
Nakuinulia sadaka yangu,
Ikupendeze, Ee Mungu wangu. x2
1:Pokea mkate huu, Baba, Tunakutolea,
Utakase, Ee Baba, Mikononi mwa padri.
2: Pokea divai hii, Baba, Tunakutolea,
Itakase, Ee Baba,Mikononi mwa padri.
3:Pokea dhabihu hizi, Baba, Tunakutolea,
Zitakase, Ee Baba, Mikononi mwa padri.
4: Pokea maombi yetu, Baba, Tunakutolea,
Madhabahuni mwako, Katika ibada hii.