Ingia / Jisajili

NAO WOTE WAKAJAZWA

Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: FINIAS MKULIA

Umepakuliwa mara 359 | Umetazamwa mara 1,512

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO:- Nao wote wakajazwa naye roho mtakatifu, wakasema matendo makuu ya Mungu Aleluya. MASHAIRI:- 1.Mara ukatokea mbinguni mvumo kama wa upepo uvumao kwa nguvu. 2.Wote wakajazwa roho mtakatifu, wakasema makuu ya Mungu Aleluya. 3.Tubuni kila mmoja mkabatizwe, nanyi mtapokea roho mtakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa