Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Alfonce Haule
Umepakuliwa mara 629 | Umetazamwa mara 2,143
Download NotaKiitikio: Nchi imejaa fadhili za Bwana, Nchi imejaa fadhili za Bwana, Nchi imejaa fadhili za Bwana. X2
1. Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu, Huzipenda haki na hukumu, Nchi imejaa, fadhili za Bwana.
2. Kwa neno lake Bwana Mbingu zilifanyika, na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake, hukusanya maji ya bahari, huviweka vilindi, katika ghala.
3. Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu aliowachagua kuwa urithi wake, toka Mbinguni Bwana Mungu huchungulia, huwatazama na wanadamu wote pia.