Ingia / Jisajili

Kaburi Li Wari Bwana Yesu Amefufuka

Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 183 | Umetazamwa mara 460

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Leo ni siku ya tatu, kaburi liko wazi, Bwana Yesu kafufuka kweli kafufuka. Ameyashinda mauti, kama alivyosema, siku ya tatu nitafufuka kweli kafufuka. "Tuimbe aleluya, tumshangilie Kristo, kafufuka alivyosema kashinda mauti" X 2 MABETI 1. Siku ya tatu amefufuka kama alivyosema, tumshangilie Bwana amefufuka. 2. Giza na mauti vyote amevishinda ajabu, ufufuko ni ushindi kwa dhambi zetu. 3. Utukufu mbinguni na amani iwe duniani, kwao wote wateule alowaridhia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa