Ingia / Jisajili

NAENDA KUWAANDALIA MAKAO

Mtunzi: Haule Alfonce Innocent
> Tazama Nyimbo nyingine za Haule Alfonce Innocent

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana | Mwanzo

Umepakiwa na: Alfonce Haule

Umepakuliwa mara 346 | Umetazamwa mara 1,347

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Enyi watu wangu msifadhaike; Enyi watu wangu msifadhaike (Msifadhaike); Maana mimi naenda kwa Baba (Naenda Mimi) Kuwaandalia Makao X2 1. Tazama mimi miko pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari asema Bwana. 2. Hivyo, yatupasa leo kufurahia, Bwana Yesu amepaa kwenda kwa Baba (ili) kutuandalia makao yetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa