Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 659 | Umetazamwa mara 2,293
Download Nota Download MidiNchi zote, nchi zote za dunia, zimeuona wokovu wa Mungu wetu x2
1.Mwimbieni Bwana, wimbo mpya, kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
2.Amezikumbuka rehema zake, nauminifu wake kwa nyumba ya Israel.