Ingia / Jisajili

Ee Mungu Wangu Mfalme

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 183 | Umetazamwa mara 740

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 31 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 5 ya Pasaka Mwaka C
- Shangilio Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota
Maneno ya wimbo
  •                                                                                                                                                                      Mtunzi: Valentine Ndege
  •                                                                                                                                                                      Simu: 0758 084 222
  • Kiitikio:

(Ee Mungu wangu Mungu wangu mfalme mimi nitakutuza, nitalihimidi jina lako milele na milele milele na milele) x2

  • Mashairi:
  • 1.Bwana anafadhili ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema rehema.
  • 2.Bwana kazi zako zote zitakushukuru, nao wacha Mungu wako watakuhimidi Mungu wao.
  • 3.Ufalme wako ni ufalme wa zamani zote na mamlaka  yako, ni ya vizazi vyote ni ya vizazi vyote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa