Ingia / Jisajili

Tu Watu Wake

Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Willy Kiwango

Umepakuliwa mara 850 | Umetazamwa mara 3,254

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Tu watu wake, tu watu wake tu watu wake, //:na kondoo za mkono wake, na kondoo za mkono wake://

Mashairi:

1. Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote, mtumikieni kwa furaha, njoni mbele zake kwa kuimba

2.Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu, ndiye aliyetuumba sisi, na sisi tu watu wake, tu watu wake na kondoo wa malisho yake.

3. Kwa kuwa Bwana ndiye mwema, rehema zake ni za milele, na uaminifu wake vizazi na vizazi


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa