Mtunzi: Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Mfahamu Zaidi Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wilhelm A. Kiwango (W. Kiwango)
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi
Umepakiwa na: Willy Kiwango
Umepakuliwa mara 1,481 | Umetazamwa mara 4,910
Download Nota Download MidiKiitikio
Nitaenenda mbele za Bwana, nitaenenda mbele za Bwana katika nchi za walio hai x2
Viimbilizi
1. Naliamini kwa maana nitasema, mimi naliteswa sana naliteswa sana
2.Ina thamani machoni pa Bwana, mauti ya wacha Mungu ya wacha Mungu wake
3.Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako, mtumishi wako mwana wa mjakazi wako
4.Umevifungua vifungo vyangu, nitakutolea dhabihu ya kushukuru na kulitangaza jina la Bwana