Ingia / Jisajili

Mimi Ndimi Mchungaji Mwema

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Pasaka

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 245 | Umetazamwa mara 863

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mimi ndimi mchungaji mwema nao walio wangu nawajua nao walio wangu wanijua mimi X2 1. Kama vile Baba anijuavyo nami nimjuavyo Baba 2. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo

Maoni - Toa Maoni

Lilian Nov 10, 2023
Mtungaji yupo vizuri

Lilian Nov 10, 2023
Naupenda sana

Toa Maoni yako hapa