Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 1,120 | Umetazamwa mara 1,983
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka A
1. Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema
2. Bwana ni mwema kwa watu wake wote na rehema zake zi juu ya kazi zake zote
3. Macho ya watu wote yakuelekea wewe nawe huwapa chakula chao wakati wake
4. Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote
5. Bwana yu karibu na wote wamwitao na wote wamwitao kwa uaminifu