Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Pasaka
Umepakiwa na: Damasi Michaeli
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 2
Download Nota Download MidiKARAMU YA PASAKA
Paska yetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka, (nasi tuile karamu yake Bwana chakula chenye uzima)X2
1.Kristu pasaka yetu tushibishe na mwili wako ulioutoa uwe chakula chetu sisi wasafiri, njoo kwetu mwokozi njoo ukae nasi wewe ndiwe mwanga wetu na Mwokozi wetu.
2.Hostia takatifu ndiyo chakula chetu bora hii siyo mana wala kware waliokula babu zetu, ni mkate wa mbingu wenye uzima tele unaozipa roho zetu uzima milele.