Ingia / Jisajili

NIJARIBUNI KWA ZAKA ASEMA BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,946 | Umetazamwa mara 5,545

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nijaribuni kwa zaka nyinyi, nijaribuni kwa zaka kwa zaka kwa zaka asema, Bwana, asema Bwana Mungu wa Majeshi: oneni kama, oneni kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwatiririshia baraka tele. 1. Leteni ghalani mwangu leteni zaka ili nyumbani mwangu kuwe na chakula. 2.Nasema hivi nasema nijaribuni, nijaribuni mimi hivyo nitatoa baraka. 3.Mizabibu yenu iliyo mashambani itazaa matunda, matunda yenye kweli baraka. Nitumikieni mimi nitumikieni hivyo nyinyi mtakuwa kweli kweli urithi wangu. 5.Ndipo mataifa yote ya ulimwengu yatawaita nyinyi watu waliobarikiwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa