Ingia / Jisajili

Nikushukuruje

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 657 | Umetazamwa mara 2,351

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mungu wangu nikushukuruje kwa mema yako yote uliyonitendea mimi kiumbe dhaifu x2 (Nitaimba vipi Mungu wangu ili niyataje mema yako yote kwani mema yako ni mengi sana hayana kikomo nitalisifu jina lako Mungu wangu milele na milele.x2)

  • 1.Asante Mungu mwenyezi na kushukuru kwa mema yote, siku zote Mungu wangu nitakutukuza wewe.
  • 2.Magonjwa uliniponya kwenye ajali ulinikinga siku zote Mungu wangu nitakuabudu wewe.
  • 3.Huruma yako ni kubwa kwa wenye dhambi wanaotubu siku zote Mungu wangu nitakusifu wewe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa