Ingia / Jisajili

Heri Ya Mwaka Mpya/Siku Zote

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka Mpya | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 393 | Umetazamwa mara 1,090

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
HERI YA MWAKA MPYA/SIKU ZOTE Nawatakieniheriyamwakampya (siku zote) wapendwa, heri, heriyamwakampya (siku zote) wapendwa *2 Mwakauliojaa (siku zilizojaa) upendoamaninafuraha, uliojaa (zilizojaa) upendoamaninafuraha *2 1. Mungu Baba atulindedaima, siku zoteatembee nasi 2. Mungu Baba atupeafyanjema, siku zotesituwewazima 3. Mungu Baba Imani tuongezee siku zotesituweImara 4. Mungu Baba tukingenamaovu siku zotetushindeshetani

Maoni - Toa Maoni

Mwanahamisi Kibwana Dec 31, 2023
Thank you

Toa Maoni yako hapa