Ingia / Jisajili

Tazama Mungu Ndiye Anayenisaidia

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 28,167 | Umetazamwa mara 45,282

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 16 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Tazama, tazama, Mungu ndiye anayenisaidia Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu x 2

  1. Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu, ee Bwana nitalishukuru jina lako maana ni jema.
     
  2. Ee Mungu, ee Mungu uyasikie maombi yangu, uyasikilize maneno ya kinywa changu maneno ya kinywa changu.
     
  3. Ee Mungu, ee Mungu uisikilize sala yangu, wala usijifiche nikuombapo, nikuombapo rehema.

Maoni - Toa Maoni

Clement Oct 31, 2023
...wimbo mzuri mno...umenigusa mnooo....nimeupiga zaidi ya masaa mawili na bado nimenyoka nao....hivi nilikuwa nafuatisha lyrics zake..Big Up..big up

Ernest Hamenyimana Jul 14, 2022
Great song!

Happyphania kweka May 17, 2022
Huu wimbo nimeupenda naomba mnitumie whatsp 0629659897

Abel Fabiano Apr 05, 2020
Naomba huu wimbo wa tazama tazama Mungu ndiye anayenisidia.Nitumiwe kwenye watsap namba 0622016124

Ezekiel Feb 09, 2019
Naomba huu wimbo wa Tazama Mungu ndiye anaye nisaidia.Mamba yangu ya whats app 0767898610

George Aug 22, 2018
Naupenda sana huu wimbo naomba nitumiwe kupitia whatsp no 0654082260

Sixmond Chale Jun 24, 2018
Hii nyimbo kiukweli inanigusa Sana, niliisikia kwenye msiba wa mzee Njovu kurasini parokiani, naomba nitumiwe what'sap 0716067048 wimbo unainjilisha sana

PETER MKONGWA May 20, 2018
Tafadhali, naomba audio yake kwenye whasap - on 0767202043

PETER MKONGWA May 20, 2018
Atukuzwe Mungu kwa uumbaji wa mtunzi wa wimbo, unatia moyo, unanikumbusha kuwa karibu na Mungu

Jones Tairo Aug 02, 2017
wimbo ni mzuri sasa Mungu awabariki Kwa uinjilishaji mzuri. naomba mnitumie huu wimbo tazamatazama Mungu ndiye anayenisaidia nakuitegemeza nafsi yangu. Kwa njia ya watsap . nimejaribu kuidanlod imegoma

HAPPY MALLYA Jul 07, 2017
Mungu akubariki sana JOHN MGANDU.. nabarikiwa na nyimbo zako nyingi sana.. Kuimba ni kusali mara mbili.. usichoke kututengenezea na nyingine nzuri zaidi.. lengo letu ni kumsifu Mungu wetu.

Eugine joseph Jan 20, 2017
huu wimbo unanibariki sana lakini sina huo wimbo naomba nisaidiwe kuupata ili jina la KRISTU liendelee kuhimidiwa hii ndio namba yangu 0719336528

nicolaus shabate Dec 18, 2016
naupenda sana wimbo huu pia nampongeza john mgandu mtunzi wa wimbo huu namba zangu hizi 0782791709\0767418456

nicolaus shabate Dec 18, 2016
nampongeza mtunzi wa wimbo huu john mgandu,wimbo inatufundisha kuwa tumtegemee mungu kwa kila jambo

Melchior Jul 11, 2016
Hongera

Toa Maoni yako hapa