Ingia / Jisajili

NIMEUONA MKONO WAKO BWANA

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 70 | Umetazamwa mara 184

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NIMEUONA MKONO WAKO BWANA Kiit: Nimeuona mkono, mkona wako Bwana, nimetambua kuwa, siyo kwa nguvu yangu, bali ni kwa neema yako ninashukuru, ninafurahi,nitakusifu milele yote; Umenitendea mema, Bwana nitakutukuza, Bwana nasema asante kwa ukarimu wako, Umenifuta machozi Bwana nimeheshimika Bwana nasema asante kwa ukarimu wako. 1.Niyekuwa gizani, nakuwa mwangani sina la kusema zaidi ya asante. 2.Niliyekuwa mgonjwa, nakuwa mzima sina lakusema zaidi ya asante. 3. Niliyeitwa laana, naitwa baraka sina la kusema zaidi ya asante. 4.Niliyeitwa maskini naitwa tajiri sina la kusema zaidi ya asante. 5.Niliyeitwa tasa, naitwa mzazi sina la kusema zaidi ya asante. 6. Niliye kuwa sifai leo ninafaa sina la kusema zaidi ya asante.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa