Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 776 | Umetazamwa mara 4,292
Download Nota Download MidiKiitikio
Nimevipiga vita kuinusuru roho yangu, nimevipiga vita vilivyo imara. x2
Mashairi
1.Najua mwokozi atanishindia, sababu roho yangu inamtumainia.
2.Wakati wa mchana na wakati wa usiku, ulinzi wake ndio ninautumainia.
3.Katika shida zangu nalimwita Bwana Yesu, akanitoa mimi katika dhiki zangu.
4.Na neno lake Mungu ndio taa yangu mimi, na jina lake Yesu ni kimbilio langu.