Ingia / Jisajili

Ninaileta Sadaka Yangu.

Mtunzi: Faustini F.Mganuka
> Mfahamu Zaidi Faustini F.Mganuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustini F.Mganuka

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Faustini Mganuka

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Ninaileta sadaka yangu kwako Ee Bwana (Ee Bwana) kwa wema wako upokee sadaka.

Upokee (upokee Bwana sadaka)

Ibariki (ibariki kwa wema wako)

Itakase(tunaomba uitakase)

Iwe sadaka safi kama sadaka ya Abelix2

SHAIRI.

1. Haya hima ndugu twende kumtolea Mungu sadaka, sadaka ya shukrani kwa Mungu kwaaliyotujalia, Kwa moyo wa shukrani sote tutoe sadaka zetu

2. Atabarikiwa yule anayetoa kwa moyo mnyoofu Bwana atambariki yeye na uzao wake wote, kwa moyo wa shukrani sote tutoe sadaka zetu.

3. Yeye ametujalia uhai Bure Wala si kwa fedha, ametulinda wiki nzima twende ni kumshukuru, kwa moyo wa shukrani sote tutoe sadaka zetu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa