Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 371 | Umetazamwa mara 1,317
Download Nota Download MidiKianzio:Polepole kwa utulivu
//: Miaka Hamsini ya Halmashauri ya walei Tanzania, Tutatakatifuze Malimwengu://
Mahsairi
1.(a) Walei tunaalikwa kuadhimisha jubilei Miaka Hamsini ya Halmashauri yetu
(b) Tunamshukuru Mungu kwa kuadhimisha jubilei Miaka Hamsini ya Halmashauri yetu
Kiitikio
//:Tufurahi sote na tufanye shangwe tukishangilia jubilei yetu Oye Oye tushangilie ni jubilei://
2.(a) Njoni tushangilie makuu ya Mungu wetu Miaka Hamsini ya Halmashauri yetu,
(b) Kwa zawadi aliyotujalkia ya jubilei Miaka Hamsini ya Halmashauri yetu,
3.(a) Njoni Uwaka na Wawata tushangilie Miaka Hamsini ya Halmashauri yetu,
(b) Viwawa na Vipapa njoni tushangilie Miaka Hamsini ya Halmashauri yetu,
Kibwagizo cha kumalizia
Ni jubilei ya Miaka hamsini, ya Halmashauri ya Walei Tanzania,
Walei wote tushangilie Jubilei, Tucheze wote tushangilie jubilei,
Kwa nyimbo nzuri tushangilie jubilei, Tumsifu Mungu tushangilie jubilei.