Mtunzi: Majaliwa S. Naftari
> Mfahamu Zaidi Majaliwa S. Naftari
> Tazama Nyimbo nyingine za Majaliwa S. Naftari
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: MAJALIWA NAFTARI
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
Nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina ka Bwana.
1. Nimrudishie Bwana nini kwa ukarimu wake wote alionitendea, nitakipokea kikombe cha wokovu na kulitangaza jina la Bwana.
2.inathamani thamani machoni pa Bwana, mauti ya wachamungu wake, Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako umevifungua vifungo vyangu.
3. Nitakutolea dhabihu ya kushukuru na kulitangaza jina la Bwana, nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana naam mbele ya watu wake wote.