Ingia / Jisajili

Tubuni Na Kuiamini Injili

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 294 | Umetazamwa mara 1,331

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUBUNI NA KUAMINI INJILI Tubuni na kuamini injili tubuni na kuamini injili *2 wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia tubuni na kuamini injili*2 1. Toba huleta msamaha nao hurudisha mahusiano kati yetu na Mungu 2. Toba ya kweli ni kubadili mwenendo tabia zetu zifananena imani 3. Ufalme wa Mungu unafuraha unafuraha ya milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa