Ingia / Jisajili

Ee Bwana Utege Sikio

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 6

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana utege sikio lako unijibu

1. Wewe uliye Mungu wangu umwokoe mtumishi wako anayekitumainia.

2. Wewe Bwana unifadhili mimi kwa maana ninakulilia wewe, ninakulilia mchana kutwa.

3. Unitetee na taifa lile taifa lisilo haki Bwana na yule mtu wa hila.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa