Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 542 | Umetazamwa mara 1,885
Download Nota Download MidiMalaika akawaambia msiogope X2. Kwakuwa mimi ninawaletea, habari njema, ya furaha kuu, kwa watu wote, kwa ajili yenu, mtoto amezaliwa, ndiye Kristo Bwana X2
1. a. Bethlehemu ni furaha shangwe zimetanda, Gloria, Gloria Gloria.
b. Njoni tuimbe tumshangilie mkombozi, Gloria, Gloria Gloria
2.a. nanyi wachunga msiogope huyu ni masiha glo......
b. amezaliwa kuja kuukomboa ulimwengu glo
3.a. Enyi mataifa njoni mkamwabudu mfalme
b. Ni mfalme wa amani na Ba-ba wa mi lele
4. a. Dunia na ishangilie kuja kwake mwokozi
b. Tarumbeta vinanda zeze ndelemo visikike