Ingia / Jisajili

Astahili Mwana Kondoo

Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme

Umepakiwa na: Joseph Nyarobi

Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 992

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka A
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka B
- Mwanzo Sherehe ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mfalme Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Astahili mwana kondoo aliyechinjwa, kuupokea, kuupokea uweza na utajiri hekima nguvu na heshima X2

1. Utukufu na ukuu unayeye, hata milele na milele.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa