Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 477 | Umetazamwa mara 1,522
Download Nota Download MidiNuru itatuangazia leo, kwa ajili yetu Bwana amezaliwa x2
1.Naye ataitwa jina lake, mshauri wa ajabu Muungu mfalme wa amani, Baba wa milele.
2.Na ufalme wake, ufalme wake, utakuwa hauna mwisho.