Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Valentine Ndege
Umepakuliwa mara 2,259 | Umetazamwa mara 3,920
Download Nota Download MidiEe Bwana fadhili zako zikae nasi kama vile tulivyo kungoja wewe
1. Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu, huzipenda haki haki na hukumu, nchi imejaa fadhili za Bwana.
2. Tazama jicho la Bwana li kwao wamchao, wazingojeao fadhili zake, yeye huwaponya nafsi zao na mauti na kuwahuisha wakati wa njaa.
3. Nafsi zetu zinamngoja Bwana, zinamngoja Bwana yeye ndiye msaada wetu na ngao yetu, ee Bwana fadhili zako zikae nasi kama vile tulivyokungoja wewe.