Ingia / Jisajili

Majira Mambo Yote Yalipokuwa Kimya

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Noeli

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 971 | Umetazamwa mara 1,781

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Majira mambo yote yalipokuwa kimya na usiku ulikuwa katikati ya mwendo wake mwepesi X2

Neno wako Mwenyezi alishuka mbinguni Neno wako Mwenyezi (Mwenyezi) alishuka mbinguni katika kiti chako cha kifalme X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa