Ingia / Jisajili  Changia

Paza Sauti Piga Kelele

Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: Deogratius Didas

Umepakuliwa mara 41 | Umetazamwa mara 58

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka B

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo

Paza sauti piga kelele maana mtakatifuwa israeli ni mkuu kati yako.

1. Tazama Mungu ndiye wokovu wangu nitatumaini wala sitaogopa maana Bwana ni nguvu zangu na wimbo wangu.

2. Naye amekuwa wokovu wangu basi kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokuvu.

3. Mshukuruni Bwana liiteni jina lake lililo takatifu, yatangazeni matendo yake kati ya mataifa.

4. Mwimbieni Bwana kakuwa ametenda makuu na yajulikane, paza sauti piga kelele ee mwenyeji wa sayuni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa