Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 16
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Majilio Mwaka B
Ee Mungu uturudishe, uangazishe uso wako ili tupate kuokoka.
1. Wewe uchungaye Israeli wewe uketiye juu ya makerubi utoe nuru uziamshe nguvu zako uje kutuokoa.
2. Ee Mungu wa majeshi tunakusihi urudi utazame toka juu uujilie mzabibu na mche ulioupanda kwa mkono wako wa kuume.
3. Mkono wako na uwe juu yake mtu wa mkono wako wa kuume juu ya mwanadamu uliyemfanya imara kwa nafsi yako.