Ingia / Jisajili

Rarueni Mioyo Yenu

Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Stanslaus Butungo

Umepakuliwa mara 1,280 | Umetazamwa mara 3,852

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Lakini hata sana (Asema) Asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga na kwa kulia na kwa kuomboleza, rarueni mioyo yenu si mavazi mavazi yenu, kwa kufunga na kwa kulia na kwakuomboleza, rarueni ioyo yenu si mavazi mavazi yenu

Mashairi:

1. Fanyeni mabadiliko, mioyoni- mwenu, kwa kufunga na kwa kulia, na kuombo-leza, rarueni mioyo yenu si mavazi mavazi yenu

2. Pigeni tarumbeta, hu-ko sa-yuni, wambiemni watu wo-te i-li wa-funge rarueni mioyo yenu si mavazi mavazi yenu

3. Kusanyeni watu wo-te, waleteni kwangu, aleteni na watoto ha-ta wa-zee rarueni mioyo yenu si mavazi mavazi yenu

4. Haya njoni tusemezane, a-sema- Bwana dhambi zenu zilizo nyukundu, zitakuwa nyeupe rarueni mioyo yenu si mavazi mavazi yenu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa