Mtunzi: Stanslaus Butungo
> Mfahamu Zaidi Stanslaus Butungo
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Butungo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Stanslaus Butungo
Umepakuliwa mara 1,036 | Umetazamwa mara 4,169
Download Nota Download MidiUTUKUZWE EE BABA
Utukuzwe Ee Baba Mungu wa Ulimwengu, maana kwa wema wako tumepokea, mkate na Divai tunavyovileta kwako x2
1. Pokea mkate tunakutolea, pokea Ee Baba pokea kwa wema wako
2. Pokea Divai tunakutolea, pokea Ee Baba pokea kwa wema wako
3. Pokea na nyoyo tunakutolea, pokea Ee Baba pokea kwa wema wako
4. Pokea na nyoyo tunakutolea, pokea Ee Baba pokea kwa wema wako