Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 795 | Umetazamwa mara 2,259
Download Nota Download MidiSadaka ya sifa Baba pokea twaileta wanao Twaomba uipokee x2. {Pokea Baba uibariki ikupendeze iwe safi kama ya Abeli x2}
1.Ndugu fungueni fungueni fungueni hazina, tutoe sadaka safi tukampe Mungu wetu.
2.Tutoe kwa Moyo wa upendo moyo wa Shukrani, tumpe Muumba wetu yote atatuzidishia.
3.Na kwa Moyo radhi tumwambie Mungu wetu pokea, kidogo tullichonacho twakushihi ukipokee.