Ingia / Jisajili

Mezani pako Yesu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 402 | Umetazamwa mara 1,404

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mezani pako Yesu mwema naijongea karamu yako, Ni karamu ya upendo ni karamu ya upatanisho. (Heri yao walioalikwa (pia wenye) mikono safi na moyo mweupe kujongea meza ya Bwana x2)

  • 1.Hebu jiulize ndugu kabla hujajongea je, wastahili kujongea mezani au wajihukumu kwa moto wa milele?
  • 2.Bwana waniona toka ndani ya moyo wangu nilishe mwili ninyweshe damuyo nisije kwa kuwafurahisha wanionao.
  • 3.Bwana nitakase roho yangu ili nishiriki mwili wako pia damu yako ili nipate uzima wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa