Ingia / Jisajili

Sala Ya Mtakatifu Inyasi

Mtunzi: Dr. Nicholas Azza
> Mfahamu Zaidi Dr. Nicholas Azza
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Nicholas Azza

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Nicholas Azza

Umepakuliwa mara 85 | Umetazamwa mara 238

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SALA YA MTAKATIFU INYASI (Anima Christi) 1. Roho ya Kristu, nitakase; mwili wa Kristu, niokoe; damu ya Kristu, nifurahishe. 2. Maji ya ubavu wake Kristu, nioshe; mateso ya Kristu, nguvu nizidishie; Ee Yesu mwema unisikilize. 3. Katika madonda yako unifiche; usikubali nitengwe nawe na adui mwovu, unikinge. 4. Saa ya kufa kwangu, unite; uniamuru nikusogelee; sifa zako niimbe na watakatifu wako. Milele na milele. Amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa