Mtunzi: Deogratius Matojo
> Mfahamu Zaidi Deogratius Matojo
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Matojo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratius Didas
Umepakuliwa mara 17 | Umetazamwa mara 31
Download NotaSifuni Ekaristi takatifu ya Yesu.
1. Ndio mkate wa wagonjwa na wote walemewao na mizigo.
2. Chemchemi ya uzima wa milele na ndio njia bora ya ukombozi.
3. Nakutolea heshima na utukufu, nakuabudu na kukutukuza.