Ingia / Jisajili

Mungu Wa Israeli Awaunganishe

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 51 | Umetazamwa mara 95

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Mungu wa Israeli awaunganishe) Mungu wa Israeli awaunganishe

Naye awe nanyi mkae wawili (wawili) daima na milele daima na milele X2

1. Bwana awapelekee msaada kutoka patakatifu pake na kuwategemeza toka Sayuni

2. Yeye awajalie kwa kadiri ya haja ya moyo wenu na kuyatimiza mashauri yenu yote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa