Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 1,319 | Umetazamwa mara 4,275
Download Nota Download MidiBwana Yesu kafufuka kweli kweli kafufuka (sote) tushangilie tuimbe aleluya X2
Kaburini hayumo tena ni mzima (yeye) ameyashinda mauti
(Yesu) Kristo kafufuka tuimbe aleluya X2
1. Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele
2. Nimefufuka na ningali pamoja nawe umeniwekea mkono wako maarifa hayo ni ya ajabu
3. Ameshinda mauti hafi tena Rabi Yesu ni mzima