Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,018 | Umetazamwa mara 3,030
Download Nota Download MidiAleluya, kafufuka ni mzima, Aleluya; x2 (amefufuka) yu mzima Aleluya (ameyashinda) mauti Aleluya (ohoo) ni mzima (ehee) Bwana Yesu kafufuka (ohoo) kuzimu kimya (eee) shetani kimya {(na jeshi) lake kimya (kuzimu) shetani kimya mbinguni na duniani ni shangwe Aleluya x2}
1.(Simba akiunguruma) mwituni kimya (Simba akiunguruma) mwituni kimya (waliosema hata fufuka leo) kimeeleweka (waliosema mitume waemuiba) kimeeleweka (aibu) ni yao (Yesu) amefufuka (aibu) ni yao (Yesu) amefufuka ameshinda mauti.
2.(Kaburi liwazi Bwana), amefufuka (minyororo ya kuzimu Bwana) ameikata (tutechezeni kwa furha tuimbe nyimbo na zaburi) tumewekwa huru kifungo cha shetani.
3.(Ngoma na zeze) zipigwe (Bwana Yesu) amefufuka (Nyimbo za shangwe) zipigwe (baragumu) pia vinanda hoihoi chereko na vifijo (vya sikika) Bwana Yesu ameshinda, mauti.