Ingia / Jisajili

TUNAKIMBILIA ULINZI

Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: francis wambua

Umepakuliwa mara 628 | Umetazamwa mara 2,444

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

TUNAKIMBILIA ULINZI (F.K.WAMBUA)

  • Chorus :Tunakimbilia ulinzi wako Mama Maria, (Mzazi mtakatifu Mama wa Mungu Utuombee x2)
  • 1. Kimbilio letu Mama, ndiwe msaada wetu, (sala zako ni nguzo yetu Mama utuombee x2)
  • 2. Tumaini letu Mama, ndiwe mwombezi wetu, ( sala zako ni nguzo yetu Mama utuombee x2)
  • 3. Ee Mama m'barikiwa, Mama wa Moyo safi, (Mama mwenye huruma kwa mwanao utuombee x2)
  • 4. Katika safari yetu, uwe nasi daima, (utuongoze Mama kwa mwanao utufikishe x2)
  • 5. Na siku ya kufa kwetu, utupokee Mama, (tufurahi daima kwa mwanao milele yote x2)



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa