Mtunzi: F. K. Wambua
> Tazama Nyimbo nyingine za F. K. Wambua
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: francis wambua
Umepakuliwa mara 587 | Umetazamwa mara 1,884
Download Nota Download Midi
MIMI NA NYUMBA YANGU (F.K.WAMBUA,2019)
1. Mungu asujudiwe ahimidiwe milele yote, mimi na nyumba yangu tutamsifu yeye.
2. Mungu ni kimbilio msaada wetu katika dhiki, chini ya mbawa zake tunapata ulinzi.
3. Vinywa vyetu vyanena na kutangaza ukuu wake, mimi na nyumba yangu tutamsifu yeye.
4. Mungu ni nguvu yetu ngome imara nyakati zote, kamwe hatutakoma kuimba sifa zake.