Ingia / Jisajili

Autengenezaye Mwenendo

Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura

Umepakuliwa mara 600 | Umetazamwa mara 2,605

Download Nota
Maneno ya wimbo

(Naye autengenezaye), naye autengenezaye mwenendo wake,(nitamwonesha wokovu), nitamwonesha, wokovu wa Mungu x2

1. Bwana Mungu amenena ameiita nchi, toka maawio ya jua hata machweo yake.

2. Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,na kafara kafara zako ziko mbele yangu daima.


Maoni - Toa Maoni

Petro kalashi Jun 02, 2018
Nawashukuru

Petro kalashi Jun 02, 2018
Nawashukuru

Toa Maoni yako hapa