Mtunzi: Emmanuel Daniel Mutura
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Daniel Mutura
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Emmanuel Daniel Mutura
Umepakuliwa mara 1,459 | Umetazamwa mara 4,051
Download NotaEE BWANA UTEGE SIKIO E.D.Mutura
Ee Bwana (Ee Bwana tega sikio) Utege sikio (sikio) sikio lako unijibu x2
1. Wewe uliye Mungu wangu, umwokoe mtumishi wako anayekutumaini.
2. Wewe Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana mchana kutwa.
3. Ee Bwana uyasikie, yasikie maombi yangu sikia maombi yangu.
4. Uisikilize sauti, uisikie sauti yangu sauti ya dua yangu.