Ingia / Jisajili

Ua La Kondeni Bikira Maria

Mtunzi: Dr.Damas Michael
> Mfahamu Zaidi Dr.Damas Michael
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr.Damas Michael

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mama Maria

Umepakiwa na: Damasi Michaeli

Umepakuliwa mara 271 | Umetazamwa mara 787

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
UA LA KONDENI BIKIRA MARIA. Ndilo ua la kondeni mfano wako Maria, Lapendeza manukato Mazuri, mama nyuki kalisonga pande zote, wakitoa sauti tamu X2 Salamu, salamu Maria X2 1.Elizabeth akasema mbarikiwa na mama wa Bwana wangu 2.ndiyo nyota ya asubuhi itokeayo upande wa mashariki

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa